Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







300,000 x6. 0679 956 863
MPYAA MPYAA MPYAA KABISA HIZI
LOCATION: KIMARA TEMBONI
VYUMBA VIWILLI VYA KULALA
KIMOJA MASTER KITAKUWA NA HITAYAMAJI MOTO MAJIYABALIDI
SEBULE KUBWA ITAWEKWA AC
PUBLIC TOILET
JIKO KUBWA SANA
KODI 300,000X6
KILA MTU ANA LUKU YAKE
MAJI YAKE YANA FLOW NDANI
ZIPO MBILI NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA
NDUGU MTEJA NYUMBA HIZI ZITAKUWA TIYALI MUDA WOWOTE UKILIPIA
ILA KUONA NA KULIPIA LUKSA 1/4/20/25
UMBALI NI KM 1,5
USAFIRI BAJAJI 1000 BODA 1000 HADI NYUMBANI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NAUKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0679 956 863
0781 418 437
0759151524