Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 200k
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA MWISHO
Umbali wa Kilomita 2 kutoka Stand, Usafiri Bajaj 700, BODA 1000
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Chumba Kimoja Cha Kulala Master Bedroom
• Jiko Kubwa
• Choo Kizuri cha Wageni Nje
Apartment zipo 4 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 200,000/- Malipo Miezi 6
𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
#0785889413
#0785889413