Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
π° Inapangishwa KIMARA KOROGWE
π Nyumba Inagusa Lami, Hukanyagi Tope
π Kodi ni Tsh 250,000/= *6
___
________
β’ Jiko
β’ Sebule
β’ Chumba Master
β’ Choo cha wageni nje
* Inajitegemea umeme
* Ndani ya fence
* Parking
* Mazingira mazuri
* Maji ndani
#Umbali wa dakika 7 hadi kituoni, barabara ya zege hukanyagi tope
#Note: Inakuwa Wazi Tarehe 30/10/2024, kuona na kulipia ruksa
________
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 250,000/=
#Kupelekwa kuona nyumba 15,000/=
β:- 0753172516