Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT KUBWA SANA MAVYUMBA MAKUBWA INA PANGISHWA KIMARA SUKA
KODI 170,000X6
NI CHUMBA MASTE NA SEBULE NA PUBLIC TOILET
NA KIBARAZA CHA KUPIKIA
TAILS JIPYSUM MADILISHA YA KIOO
NDANI YA FENSI PARKING IPO
YA CHINI NDO IPO WAZI
UMEME LUKU YAKO
MAJI KWA BILL MPO WAWILI TU
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1.5
BODA 1000 HADI GETINI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI