Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


——
NI APARTMENT NZURI SANA YA KUPANGA IPO KIMARA TEMBONI
#####################
KODI NI 250,000 TU KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 6
#######################
SIFA ZAKE
###########
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE aina jiko. NA PUBLIC TOILET
########################
APARTMENT INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI
######################
APARTMENT ZIPO NDAN YA FENSI PARKING IPO KUBWA SANA
#####################
KAMA UNAVYOONA INA TILES GYPSUM ALUMINUM SAFI
#######################
UMBALI KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI BAJAJI 1000
########################
CALL 0683234124
0718367179