Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI INAPANGISHWA ###250K
---------------
NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA SUKA UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
----------
SIFA ZAKE =
VYUMBA 2 VYA KULALA ( HAINA MASTER )
PUBLIC TOILET NDANI NA YA NJE
JIKO
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW YAPO 24 HOURS.
FULL PAVING BLOCK
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
-----------
KODI NI LAKI 250,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
----------
0679447338
0753454167