Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO(DSM)๐น๐ฟ
=======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW CHOONI
*NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, ILA PARKNG SPACE HAKUNA, UMEME KILA MMOJA ANA SUB METER YAKE
*NYUMBA IKO UMBALI WA.1KILOMETAR KM.1 TUU
USAFILI UPO MWINGI I NI BAJAJI,NOAH TSZ 500/=
*KODI NI TSZ 70,000/=
KWA MWEZI
______________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
=======================
*WSP:07*
*CALL:07*
=======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
______________________________
0782636396