Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


#150K MALIPO MIEZI X6
.
LOCATION KIMARA KOLOGWE 👉 KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2 BAJAJI SH.500 UKISHUKA DAKIKA 15 KWA MGUU BODA SH.1000
CHUMBA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
SIFA ZAKE 👇
==========
TILLES GYPSUM DILISHA KIOO UMEME MITA YAKO MAJI YANA FROO NDANI NYUMBA IKO KWENYE FENCI MAZINGIRA MAZURI SANA
KODI 150K MALIPO MIEZI X6
.
SERVICE CHANGER SH.15000
.
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA 🤝
.
#UNAWEZA PITIA UBUNGO EXTENO UNAFIKA PIA
#UNAWEZA PITIA KIMARA KOROGWE UNAFIKA PIA
.
CONTACT
0742260844
0657384670