Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HABAR WAPENDWA KATIKA BWANA DALALI BONGE HAPA
NA NYUMBA IPO KIMARA TEMBONI UMBALI WA KM 1 AU DK 15 KWA MGUUU NZURI SAFI
SIFA ZAKE HIZI
SEBULE KUBWA
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER
JIKO
PUBLIC TOILET NJE
MAJI MITER YAKE
LUKU MITER YAKE
FENSI KUBWA PARKING
TANK LA MAJI LAKE
MADILISHA ALUMINUM
*BEI NI 200,000/=
ILIPIWE MIEZI SITAAA*
ANGALIZO:PICHA KESHO ILA KAMA UNA MTEJA WAKO MLETE KESHO FASTA USISUBRI PICHA NIKISEMA KWA MANENO KUWA NYUMBA NI NZUR SASA CHELEWA NIJE NIKUPOSTIE IMELIPIWAAA
*SINA CHENI NAONGEA NA MMILIKI NI MJOMBA WANGU SO LETE MTEJA AMBAYE ANAJUA MAISHA NI NINI*
===========
CALL 0683234124