Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
‼️NB: INAKUWA WAZI TR 1/ 4/2024 KUONA NYUMBA NA KULIPA RUKSA KABISA MPANGAJI AKIWEPO ‼️
APARTMENT NZURI SANAA MPYAA INAPANGISHWA KODI TSH 270,000X6
---------------
NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO KIMARA SUKA
UMBALI KM 1.5
Ipondani ya fence parking kubwa sana
boda boda 1000
Bajaji 700
Seble kubwa sana
Vyumba viwili vya kulala vyote master
Jiko kubwa la kisasa
=======
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 15,000/=
Kodi 270,000/=×6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 300,000
What saapp number ⬅️ 0689-547258