Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA
CHUMBA MASTER & JIKO
NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
KODI YAKE 130,000X5
SIFA ZAKE NI:
CHUMBA MASTER
JIKO SAFI
TILES
GIPSAM
ALMINIUM
MAJI DAWASA METER YAKE
MAJI YANAFLOW NDANI
UMEME WANASHEA WAWILI
PARKING KUBWA
FULL PAVING BLOCKS
🏡 APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM2.*
BAJAJI TSH700/=
BODA TSH1000/=
🏃🏻♂️HII IPO WAZI KWA SASA NI RUKSA KUJA KUONA NA KUFANYA MALIPO.. CHANGAMKA,🏃🏻♂️🔥🔥🔥
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 👈
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1 👈
What saapp number ⬅️ 0689-547258