Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA KINA PANGISHWA
KODI 100,000X6
KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 2.5
BAJAJI 1000
MAJI YANA TILILIKA NDANI
UMEME SABU MITA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI