Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







WASWAILI WANASEMA CHELEWA CHELEWA UTAKUTA MWANA SII WAKO WAI MAPEMA HII SII YA KUKOSA KABISA
.
HIZI APARTMENT ZIPO 5 KWENYE COMPAUND MOJA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI
.
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#KIBALAZA CHA KUPIKIA
.
#LUKU SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
.
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA
.
# HAKUNA FENSI USALAMA UPO WA KUTOSHA PARKING IPO
.
#LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGURE KLM 1.5 USAFIRI WA KUMWAGA BAJAJI DALADALA/500 UKISHUKA TU DK 3 UPO KWENYE NYUMBA
.
#BEI NI 160,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
.
CONTACT
0742260844
0657384670