Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA
#SEBULE
#JIKO
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 250,000/= X 6
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
ποΈ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0655256419
KARIBU NDUGU MTEJA MUAMINI MUNGU KILA KITU UTAFANIKIWA BY DALALY LYIMO KIMARA KOROGWE πππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ€β£β£β£β£β£πβ£β£β£β£β£β£β£β£β£β£β£β£β£β£β£β£β£β£β£