Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 3 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI YA KISASA
#CHOO CHA WAGENI CHA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA MAZINGIRA MAZURI SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA STOP OVER DK 5 -6 KWA MIGUU KUTOKA MAIN ROAD
#BEI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
SIMU
0712656027