Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT YA KIBACHERA INA PANGISHWA
KODI 100,000X3
CHUMBA MASTER NA SEBULE
IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 2
BAJAJI 700
BODA 1000
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
UMEME SUB METER
MAJI YANA TILILIKA NDANI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0625606710๐ wahiii