Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
BEI NI 350,0000/= X 6
🏘️APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 350,000/=X 6
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA BARUTI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
--------------
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
----------------------------
USAFIRI NI BODABODA SHILINGI ELFU MOJA HADI KWENYE NYUMBA
-------------
‼️KUNA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 2 TUU ILIPWE SAMBAMBA NA KODI YA NYUMBA‼️
----------------------------------
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 👈
-------
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1 👈
------------------
What saapp number ⬅️ 0689-547258