Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA  INA VYUMBA VYA KULALA 5,  VYUMBA 3 MASTER  NA INA PABLICK SEBLE DIANING JIKO .
NA BANDA ZA KUFUGIA KUKU ZIPO  NYUMBA IKO PEKE AKE NDANI YA FENSI ,
KODI  LAKI 5 KWA MWEZI , MALIPO MIEZI 6.
NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE USAFIRI BAJAJI NA DALADALA  UKISHUKA DAKIKA 7.
 SERVES CHAJI 15000 TUWASILIANE KWA NO, 0674890413.




















