Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA ZIPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 2.5 ..... BEI 180,000 × 6
WAHIIIIIIIII WAHIIIIIIIIIII
HIO APO CHUMBA SEBLE CHOO NA JIKO .
INA TAIRIZI NA JIPSAM MADIRISHA YA KIOO MAJI YANAFLOW NDANI .
LUKU 3 NA SUBMITER ZIPO
KILA MTU YA KWAKE NA
MAJI MITER YAKE .
KODI 180 KWA MWEZI MIEZI 6
NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA DAKIKA 5 .
SERVES CHARJ 15000