Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA 250,000/= X 6
🏘️APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#FENSI KUBWA
#PARKING
BEI NI 250,000/= X 6
---------------------
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
---------------
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
------------
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
----------
USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 👈
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1 👈
What saapp number ⬅️ 0689-547258