Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KISWAHILI, ENEO 'POTENTIAL' KWA UWEKEZAJI, KIMARA-MWISHO.
Nisikilize mimi;
Njoo hapa,
Jenga APARTMENTS zako za kisasa.
Utakula HELA Hadi useme YEREEEEEWI! IKI NINI??
Au Tena Boresha weka Wapangaji pia utapiga Hela.
Ukiona vote Sio basi weka nyumba yako nzuri ya kisasa utulie na Familia.
Kumbuka ni jirani sana na
Barabara ya Morogoro/Mwendokasi.
Nyumba ina vyumba 10.
Kila chumba Kodi kwa Mwezi ni Tshs.50,000 (Makusanyo ya JUMLA Tshs.500,000 kila Mwezi)
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
SASA WEWE FANYA KOSA UCHELEWE,KISHA UJUTE.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_________________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema Tafadhali.