Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NIMESHUSHA BEI SASA 200K MIEZI SITA WAHI MTEJA UKAE SEHEM SALAM
*NYUMBA INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI AU UNAWEZ PITIA GOBA NJIA NNE*
UMBALI KM 2 KUTOKA LAMI
SIFA ZAKE NI KAMA HIZI HAPA....
-SEBULE KUBWA
-CHUMBA KIKUBWA
-JIKO KUBWA
-PUBLIC TOILET NDANI
-UMEME WAKE
-MAJI UNA JITEGEMEA
-PEVING BLOCKS
*BEI NI 200,000 ILIPWE MIEZI 6*
#0785889413𝑊𝒉𝑎𝑡𝑠_𝐴𝑝𝑝📲📲
#0785889413