Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTIMENT KALI SANA INAPANGISHWA, IPO KIMARA TEMBONI
KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK (5) KWAMIGUU
=========
MUUNDO
CHUMBA SEBULE JIKO OPEN KITCHEN NA PABLICK TOILET
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
=======
KODI 250,000/=/ X 3
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
CONT
0683234124
0718367179