Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(140,000X5)KIMARA MWISHO 2KM BAJAJI 1000, DALADALA 700
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT MPYAAA MPYAA KABISA HAIJAWAHI KUKALIWA CHANGAMKIA FURSA
LOCATION: KIMARA MWISHO
KODI 140,000X5X6
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA NASEBULE KUMBWASANA
MAJI YANATILILIKA NDANI
UMEME UNAJITEGEMEA WENYEWE
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 2
BAJAJI 1000
DALADALA 700
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA NDUGU MTEJA NYUMBA IPO NDANI YA FANSI PANKING KUMBWA GARI YACHINI CHANGAMOTO NYUMBA INATAKIWA MPANGAJI MKRISTO
➖➖➖➖➖➖➖➖
Contact us:-
0716223412
0683597453