Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI SANAA MPYAA INAPANGISHWA KODI TSH 270,000X6
NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO KIMARA SUKA
UMBALI KM 1.8
Ipondani ya fence parking kubwa sana
boda boda 1000
Bajaji zipo
Sebule kubwa sana
Vyumba viwili vya kulala vyote master
Jiko kubwa la kisasa
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Service charge 15,000
Kodi 270,000/=×6
Malipo ya dalali ya by mwezi mmoja ambayo ni laki 270,000
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37