Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI INAPANGISHWA 250,000X6
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA NI MASTER
SEBULE JIKO
NA CHOO PUBLIC
LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SHARE WAWILI
YANAFLOW NDANI
TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA KIOO MAZINGIRA MAZURI SANA
NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING YA KUTOSHA
KUNA PERVING BLOCKS
ZIPO MBILI NDANI YA COMPOUND 1
LOCATION KIMARA STOP OVA DK 8 KUTOKA BARABARANI
NJIA NI RAFIKI SANA KWA MAGAR YOTE
BEI NI 250,000/=
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 👈
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1 👈
What saapp number ⬅️ 0689-547258