Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


MPYAA MPYAAA MPYAA KABISA ZINA PANGISHWA 
KODI 200,000X6  MAONGEZI KUHUSU MIEZI YAPO
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI KM 2.5 
BAJAJI 1000
CHUMBA SEBULE MASTER NA JIKO 
UMEME LUKU YAKO 
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI 
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI 
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.20,000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT 
  CALL/WHATSAPP...O677370515




















