Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI 250,000X4  KIMARA STOP OVER 
UMBALI  DAKIKA 5_6 KWA MGUU 
➖➖➖➖➖➖
✔️CHUMBA MASTER 
✔️ SEBULE 
✔️JIKO
UMEME LUKU YAKO 
MAJI MITA YAKO NA YANA FLOW NDANI 
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL PEVING BLOCK 
INAKUWA WAZI TAREHE 1/7/2025
ILA KUONA NA KULIPIA LUKSA KAMA TUTAMKUTA MPANGAJI 
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
NDUGU MTEJA PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
➖➖➖➖➖➖➖➖
0716223412
0618976024



















