Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(100,000X3)
KIMARA MWISHO
NYUMBA ZINAPANGISHWA
MAHALI:KIMARA MWISHO 1.7KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700
CHUMBA MASTER
KUBWA SANA WAI SASA
KODI:(100,000X3) FIXED
HUDUMA
LUKU WAWILI
METRE YA MAJI WAWILI
MAJI YANATOKA CHOONI
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA SIMU 0659336751 WSP 0786085637