Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA MPYAA.
CHUMBA MASTA.
NA JIKO .NA UMEME LUKU YAKE
MASTER KALI SANA
KODI 150 X 4.
KIMARA KWISHO. NI KM .2.
USAFILI BAJAJI 1000
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING IPO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
What saapp number 0689-547258