Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT HII IPO KIMARA STOPOVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐๐๐KALISANA
KODI KWAMWEZI 250,000/=ร6
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO KUBWA FULL MAKABATI
INA JITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANA FLOW NDANI
IPO NDANI YA FENCE PAKING KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK ULINZI WA KUTOSHA
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1๐ BODABODA 1000 BARABARA NIYAZEGE MPAKA GETINI
KWENYE COMPOUND ZIPO APARTMENT 4 NA HII MOJA NDO IPOWAZI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS 15,000
#0785889413