Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(280,000 × 6) KIMARA TEMBONI
NYUMBA KUBWA NZURI INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE INAPANGISHWA
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/05/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA NA KUFANYA MALIPO
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 TUU VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#PAVING
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 280,000/= × 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 80 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🇹🇿 NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI
💥PIA UNAWEZA KUPITIA MBEZI KIBANDA CHA MKAA USAFIRI NI BAJAJI HADI KWENYE NYUMBA
🎤 NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300