Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam






(180,000X4)KIMARA SUKA 2.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700
➖➖➖➖➖➖➖➖
✔️CHUMBA MASTER
✔️SEBULE
✔️JIKO
HII YA JUU NDO IPO WAZI
IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 2.5
KODI 180,000X4
MAJI YANA FLOW NDANI
UMEME SUB METER
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453