Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGISHA KIMARA MWISHO CHUMBA SEBLEE CHOO NDANI KODI LAKI NA ELFU HAMSINI (150,000)KWA MWEZI
----
Chumba Master kikubwa
Seble kubwa Sana
Tiles.
Gypsum
Slide window
Maji yana flow ya dawasa
Umeme wako
Ndani ya fence
Parking spece kubwa Sana
-----
Umbali wa 1.5 kilometer to main road
Service charge 15,000/=
Kodi 150,000/=ร6
-----
Contact
#0754344786
#0652472014