Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 6) KIMARA KOROGWE
HIZI APARTMENT ZIPO NNE TU KWENYE COMPOUND MOJA KATI YA IZO MOJA NDIO IMEBAKIA ZINAKUWA TAYARI TAREHE 30/06/2023 MALIPO RUKSA
#CHUMBA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PAVING ZINAWEKWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#NYUMBA ZINAWEKWA FENSI PARKING KUBWA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300