Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🗯️ Nyumba Mpya Kabisa, weww ndio mpangaji wa kwanza!!
📍 KIMARA MWISHO
📍 Kodi 230,000 X6
_____
_____
📌 Ina Vyoo viwili ndani
• Jiko
• Sebule
• Chumba Master
• choo cha wageni ndani
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Ndani ya Fensi
* Parking
#Umbali 1.5KM kutoka kituo cha Mwendokasi, usafiri bajaji 700
_______
#Malipo ya Dalali Nasoni ni 230,000/=
#Kupelekwa kuona nyumba 15,000/=
№:- 0753172516