Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA SUKA #250k
===
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedrooms sebule jiko na public toilet
===
Kodi 250,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali KM 2 Usafiri bajaji zipo
===
Ndani ya fence parking IPO inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
====
#0785889413
#0754589413