Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM NA JIKO LAKE INAPANGISHWA KIMARA SUKA KODI NI 100,000X6
Chumba cha kulala
Choo ndani
Jiko ndani
Maji Free nayanaflow jikoni na chooni
Umeme shared
Bei:100,000 Kwa mwezi × 6
Umbali km 1 Bajaji zakutosha
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Contact with
0716223412
0683597453