Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT KUBWA NZURI YA KISASA INAPANGISHWA ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 05/04/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
BEI NI 350,0000/= X 6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
#GARDEN
BEI NI 350,000/=X 6
ILIPWE LAKI 3 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA BARUTI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SHILINGI ELFU MOJA HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
๐ฅKUNA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 2 TUU ILIPWE SAMBAMBA NA KODI YA NYUMBA
CONTACT
0742260844
0657384670