Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam



MPYA MPYA MPYA KABISA ZINAPANGISHWA KIMARA BARUTI DK2 KUTOKA LAMI
KUINGIA TAR 10.7.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA HAPO KUNA NYUMBA ZA AINA MBILI TOFAUTI
-----------
( A ) VYUMBA VIWILLI VYA KULALA SEBULE JIKO OPEN KITCHEN NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI
HAKUNA MASTER
KODI NI TZS 400K X6
( B ) CHUMBA MASTER KUBWA SANA SEEBULE KUBWA MNO YA KUJIACHIA JIKO KUBWA LA KISASA LINA FUNGWA MAKABATI >OPEN KITCHEN NA PUBLIC TOILET NZURI YA NJE
KODI 350,000/÷×6
---------
TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
ZIKO APARTMENTS TATU TU KWENYE COMPOUND MOJA NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU 👉UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
-------------
SERVICE CHARGE NI TZ'S 15K
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_kimara 🇹🇿
KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏