Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 6) KIMARA TEMBONI DAKIKA 4 KWA MIGUU
HII NYUMBA NDUGU MTEJA HAUITAJI BODA WALA BAJAJI
INAVYUMBA 2 VYAKULALA HAINA MASTER INA SEBULE INAJIKO NA PUBLIC TOILET
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
IPO NDANI YA FENSI FULL PAVING BLOCKS
KODI KWA MWEZI 250,000 × 6 SIO CHINI YA MIEZI 6
HII NYUMBA ITAKUA WAZI TAR 2 MWEZI 4
KUONA NDANI RUKSA IWAPO ATAKUEPO
KULIPIA RUKSA ILI USIIKOSE
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300