Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


CHUMBA SEBULE CHOO NDANI NA LUKU YAKE
LOCATION KIMARA SUKA UKISHUKA. UNATEMBEA DAKIKA 1
BAJAJI ZIPO BODA BODA
CHUMBA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
HAINA JIKO
TYRIES GPYSAM DILISHA ALUMINIAMU
UMEME LUKU YAKE
NA MAJI YAFLOW NDANI
NYUMBA IKO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
KODI 150,000 MALIPO MIEZI X4X6
SERVICE CHANGER SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA๐ค