Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NI CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI
.
.
IPO KIMARA KOROGWE KILUNGILE
.
.
KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 500
.
.
KODI NI 220,000 KWA MWEZI 5, 6
.
.
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI
.
.
LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW CHOONI
.
IPO NDAN YA FENS SAFI MAZINGIRA MAZUR SANAA
.
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
.
.
CONTACT
0742260844