Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


150000x6
.
——
(150,000X6)KIMARA STOPOVER 1.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HAYA HII HAPA CHANGAMKIA FURSA BEI NI 150K
LOCATION KIMARA STOP OVER
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO MAJI MITER YAKO YANAFLOW NDANI
NYUMBA IPO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD PIA UNAWEZA PITIA KIMARA MWISHO AU TEMBONI KOTE UNAFIKA
HAIPO NDANI YA FENSI ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA NA GARI INAFIKA HADI MLANGONI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
KODI NI 150,000X6
KUONA NYUMBA TSH 15,000 NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0696708032
0679 956 863