Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALONE NZURI KABISA ILIYOPO MTAA MZURI KABISA INAPANGISHWA 500K X6
ILIPWE LAKI TANO MALIPO YA MIEZI SITA
LOCATION:
KIMARA KOROGWE KWA MKUWA UNAWEZA PITIA UBUNGO EXTRENAL BAJAJI 500 PIA KUNA DALADALA ZA MOJA KWA MOJA KWENDA KARIAKOO
SIFA ZAKE
VITATU VYA KULALA 2MASTER
KUBWA
ROOM
KUBWA LENYE MAKABATI
NYUMBA HII IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK FULL GARDEN
NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
N.B NYUMBA HII ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 15.12.2025
0713661530_0783661530



















