Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(250,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗕𝗔𝗥𝗨𝗧𝗜
HIZI APARTMENT NI KALI SANA YAANI NI KALI WAHI MAPEMA KAMA HUNA HARAKA INAKUWA WAZI TAREHE 30/04/2025 NJOO 𝗨𝗭𝗨𝗜𝗘
#CHUMBA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE KABATI
#CHOO CHA WAGENI NJE
#PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 5 TU KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA MIEZI
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300