Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟAPARTMENT #INAPANGISHWA
๐Kimara Stop Over
โฐDakika 15 Kutembea Toka Morogoro Main Road
๐ SIFAZAKE
๐ทVyumba viwili, kimoja master
๐ทSebule
๐ทJiko zuri
๐ทPublic Toilet
๐ทUmeme Luku Yake, Maji yanaflow ndani
๐ทFenced Car Parking
๐ทFull Security 24/7, Pazuri Sana Hapa.
๐Zipo 4 tu hapa kwenye Compound
๐ถKodi Tsh 350,000/=x6(Miezi Sita)
๐ถMalipo ya Dalali roonyTsh 350,000/= ๐ถService charge Tsh 15,000/-
#Piga_simu
โ 0627977383
Karibu Sana Ndg Mteja๐ง๐