Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Bucha
🕑Dakika 4 Kutembea Toka Mwendokasi, Barabara nzuri kwa Magari Yote.
#SIFAZAKE
🔹Vyumba viwili, Kimoja Master
🔹Sebule kubwa
🔹Jiko zuri
🔹Choo cha familia
🔹Umeme & Maji Inajitegemea
🔹Fenced Car Parking Kubwa
👉Zipo 4 Hapa, Na hii ndio Inakuwa wazi Tar 25/06/2024 Kuiona Na Kufanya Malipo Ruksa.
🔷Kodi Tsh 450, 000/=×6(Miezi Sita)
🔷Malipo ya Dalali Tsh 450, 000/=
🔷Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊