Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA MAFUNDI WAPO KWENYE SPEED YA 5G+ WAHI MTEJA MPYA KABISA JIRANI  NA MWENDOKASI 
ZIPO APARTMENT 3 TU 
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA SANA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
#MITER YAKO YA MAJI NA LUKU YAKO
#MAJI DAWASA
#NYUMBA ZIPO KWENYE FENSI PARKING YA KUTOSHA 
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 10  KUHAMIA NI TAREHE 01/05/2024 WAHI NYUMBA NI CHACHE
# Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali 
# Simu 0757 404087




















