Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
MASTER BEDROOM NA JIKO LAKE INAPANGISHWA KIMARA SUKA
KODI TSH 100,000x6
ndani Maji yanaflow jikoni na chooni
Umeme shared
Bei:100,000 Kwa mwezi × 6
Umbali km 1 Bajaji zakutosha
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1
What saapp number ⬅️ 0689-547258